SPORTS
Maxi Nzengeli atasalia Jagwani

๐ข… Rasmi Young Africans SC ๐น๐ฟ imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji fundi wa kimataifa wa DR Congo ๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia Wananchi kwa misimu miwili ijayo.
#MalomJnr #AfricanFootball