SPORTS
Maxi Nzengeli atasalia Jagwani

💢… Rasmi Young Africans SC 🇹🇿 imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji fundi wa kimataifa wa DR Congo 🇨🇩 Maxi Nzengeli ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia Wananchi kwa misimu miwili ijayo.
#MalomJnr #AfricanFootball